Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA STAND ALONE 500,000/=× 6
NI HATARI SANAA HII NYUMBA 😂 🙌 🤸
SIOYAKUKOSA
------------------------------
📌Mahali #MBEZI KWAMSUGURI (Dsm) 🇹🇿
KM 1.5
Sehemu nzuri sana
_______________________________________
MUUNDO
✔️Vyumba 04 _ Master 01
✔️Sebule Nzuri Kubwa
✔️Jiko ndani
✔️Dinning
✔️ Public toilet safi ndani
✔️ Parking Nzuri
✔️Nyumba nzuri &Ya kisasa
✔️Maji ndani
✔️ Reserve Tank
USICHOKIJUWA SEBULE MBAKA VYUMBANI FULL AC
_______________________________________
HUDUMA (UNAJITEGEMEA)
✔️Maji Mita Yako
✔️Umeme #LUKU YAKO
📌Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA
INAFANYIWA MAREKEBISHO MADOGO MADOGO YOTE KAMA RANGI INARUDIWA NYUMBA YOTEE NDANI NA NJEE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI;
500,000\/= TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + mwezi mmoja wa dalali
_________________________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20,000
______________________
Kuna tai mbele hakwepeki