Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MAWILI KM1. KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏