Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 200000X6
_______
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA KIFURU KITUO
______
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA DAKIKA 6
KWA MIGUU
________
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE JIKO
______
UMEME MAJI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
_______
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MUMOJA
________
NYUMBA MPYA KUTAKUA TAYARI MPAKA TAREHE 20
KILA KITU
_______
KULIPA UNARUSIWA
#0655256419