Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI KM2 KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble
Jiko open kitchen
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693__673010
#dalali_big_kimara🇹🇿🇹🇿🍾
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏