Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU
--------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Heater ya maji moto maji baridi
Luku yako
Tiles
Gypsum
Electronic fence
Garden safi
Mazingila mazuri sana
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร4
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐