Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 4
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= X 4
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA HUO HUO NA NJIA NI NZURI TUU NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI