Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma


🏝 APPARTMENT INAPANGISHWA HAPA 🏝
MAHALI: MJINI AREA D
MUUNDO:
⏭️ MASTA SEBULE+JIKO
(GHOROFA YA 03)
BEI-400,000@Mwezi
MALIPO-MIEZI 06+ MWEZI MMOJA WA DALALI
_________________
HUDUMA
-FREE WiFi(internet)
-CABLE BUREEE CHANEL ZAIDI YA 40!NI BURE MPAKA SIKU UTAYOHAMA
-HULIPI TAKA/USAFI
-HULIPI MLINZI(YUKO MLINZI WA USIKU NA WA MCHANA)
-MAJI YAPO
-UMEME UPO/HUSHEI
-NDANI YA FENSI
-WATER RESERVE TANKS
-SURVEILLANCE CAMERAS
📞 0657122976 CALLS & WHATSAPP
🤝 KARIBUNI SANAAA