Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
BEI NI 400,000/=X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII NZURI IPO SINZA VATICAN NA IPO JIRANI KABISA NA MAIN ROAD NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
# Simu 0757 404087