Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
.
.
KODI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SIFA ZAKE
########
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
ZIPO MBILI TU KWENYE FENCE NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
HII NYUMBA INAFANYIWA UKARABATI WA NGUVU SANA NJE NA NDAN
LOCATION: UBUNGO RIVA SIDE
UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0655256419