Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Makako, kwa Mkuwa
🕑2km Kutoka Mwendokasi, Bajaji 500 Tu, Ukishuka Unatembea dakika 15 Mpaka Nyumba Au Boda Boda 1000 tu
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Hakuna Jiko
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking ipo
🔶Kodi Tsh 200, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 200, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊