Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Hapa Kuna Apartment za Aina 2 Tofauti
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Boda 1000
A) Kodi 100000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Chumba Master Bedroom
Luku Sub mita
Maji Dawasa yapo Nje
Tiles
Gypsum
Dirisha shata
B) Kodi 150000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
========
Chumba na Sebule
Choo ndani
Luku Sub mita
Maji Dawasa yapo Nje
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Dirisha shata
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565