Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347