Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA IPO UBUNGO MAZIWA
MASTER
NYUMBA NI NZURI CHUMBA KIKUBWA
MAJI YANA FLOW NDANI PIA UMEME WA KUSHARE
KODI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
KUONA NYUMBA SURVEY CHARGE 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0677370515
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU