Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


💥(150K) APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA UBUNGO MAKOKA
SIFA ZA NYUMBA HII
CHUMBA KIMOJA SELF CONTAINED
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET NJE
GYPSUM BOARD
TILES
ALLUMINIUM SLIDE WINDOWS
IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCKS UWANJANI
UMEME SUBMETER SHARE WA WILI
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
📢KODI NI 150K×6
ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI TU KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
🌍NYUMBA IPO UBUNGO MAKOKA KIBANGU-JUU UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA DALADALA UBUNGO RIVERSIDE PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA KOROGWE
🛺USAFIRI
BAJAJI 700/= KUTOKA UBUNGO RIVERSIDE UKISHUKA DKK 2 UPO NDANI
BODABODA 1,000 HADI MLANGONI
SERVICE CHARGE 15,000 KUPELEKWA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO
Calls:0785889413
Whatsapp:0785889413