Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#Repost dalali_makini_ubungo_riverside
——
Apartment hii Inafaulishwa
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda
Kodi 300000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
================
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Choo ndani Master
Public toilet Nje ya wageni
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Good environment
0712500602 Wtsp
0755336565