Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
LUKU
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES, GYPSUM & ALUMINUM
PARKING
Kodi 150,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.