Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
#Ubungo Makoka, Kupitia Kimara Korogwe au Riverside
Usafiri wa Bajaji Upo mpaka Hapo Ukishuka Dakika 4 Upo ndani.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja chakulala
🔹Sebule
🔹Choo cha ndani
🔹Jiko zuri la nje
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji yanatoka choonii
🔷Kodi Tsh 150, 000/=×6(Miezi Sita)
🔷Malipo ya Dalali Tsh 150, 000/=
🔷Service Charge Tsh 15, 000/=
#0785889413
#0785889413