Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


π€ Inapangishwa UBUNGO EXTERNAL
π Kodi ni 160,000/= *6 (kodi miez 6 bila kupungua)
__
_____
β’ Chumba Master Kizuri
* Maji ndani
* Ndani ya Fensi
* Mazingira mazuri
* Haina Parking
#Hii umbali wake ni dakika 9 - 12 kwa had External
#Pia ni Dakika 4π tu hadi kupanda daladala za Kariakoo zinazopitia External-Mabibo
_____
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Nasoni ni Tsh 160,000
β:- 0753172516