Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO MSEWE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
Umeme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 150,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.