Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Msewe
🕑Dakika 12-14 Kutembea Kutoka Mwendokasi Kibo, Boda Boda 1000 tu
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Hakuna Master 
🔹Sebule 
🔹Jiko 
🔹Public Toilet ndani
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking
🔶Kodi Tsh 300, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali  Tsh 300,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
 ,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊




















