Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


# Chumba master 
Kiko ndan ya gate 
Gate parking ipo Barabara ni rami tupu hadi mlangoni 
Umeme wa3
Maji ndan 
Bei 195k kwa mwez 
Hapa ubungo msew 
Dakika 8 mpaka 
Morogoro road
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















