Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani


𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘽𝙀𝙄 𝙋𝙊𝘼 𝙈𝙉𝙊
𝙑𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙑𝙄𝙆𝙄𝙉𝘿𝙐 𝙑𝙄𝘼𝙉𝙕𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙏𝙊𝙋𝘼
𝐊𝐔𝐍𝐀 𝐕𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐕𝐘𝐀
𝐓𝐒𝐇 𝟏,𝟓𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎
𝐓𝐒𝐇 𝟏,𝟗𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎
𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟎𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎
𝐓𝐒𝐇 𝟐,𝟓𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎
Viwanja vinapatikana KM 4 kutoka VIKINDU STENDI
Nauli hadi site kwa bajaj ni TSH 700 tu
➡️Ukubwa wa viwanja
Sqm 200- futi 50/40 - 2,000,000
➡️Viwanja vimepimwa kwa mpangilio wa mipango miji na vina barabara kubwa za mitaa
➡️viwanja tambarare, vinatambulika kiserikali na vina hati
➡️malipo ya installment, mteja ataanza na Tsh 1,200,000 tu iliyobaki utalipa kidogo kidogo kwa miezi 4
➡️viwanja havina udalali
➡️kutembelea site ni KILA SIKU YA WIKI KASORO SIKU YA JUMATATU TU HATUFUNGUI OFISI
𝐉𝐈𝐍𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐈𝐊𝐀 𝐒𝐈𝐓𝐄
UKIFIKA VIKINDU STENDI UTAPANDA BAJAJ ZA KWENDA VIANZI ALAFU UTASHUKA KWA MTOPA AU SHELI.
UKIPIGA SIMU HAPO UTAPELEKWA SITE BURE NA NAULI TSH 700 tu kutoka VIKINDU STENDI
KUNA BARABARA MBILI NA ZOTE UNAFIKA SITE, UNAWEZA KUTIPITIA KISEMVULE NYUMBA NYEUPE AU VIKINDU
VIKINDU ipo mbele ya mbagala, mkoa wa PWANI
𝙩𝙪𝙥𝙞𝙜𝙞𝙚 𝙨𝙞𝙢𝙪 𝙡𝙚𝙤 0785367831
𝙒𝙝𝙖𝙩𝙨𝙖𝙥𝙥 0769355987