Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F184045c1-8419-4394-b3f2-91f49870469b.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F184045c1-8419-4394-b3f2-91f49870469b.jpg&w=256&q=75)
apartments za kupangishwa Bei laki 600,000/malipo miezi 3 n.k pesa ya dalali mwezi mmoja.
zipo vikindu kisemvule mjini kabisa
( unakuta Kila kitu vikiwemo ndani)
*Kitanda,
*sofa la watu wawili
*,freeji,
*jiko,
*oven,
*tv flat inch 45,
*kabati n.k
...........ndani ipo na ..
*chumba master
*seble
*jiko
*Umeme inajitegemea
*Maji inajitegemea
Mawasiliano zaidi call & Whatsapp 0718326775/0744200926