Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani


VIWANJA VIMESHUKA BEI ALAFU NI VICHACHE…
Kutoka TSH 2,800,000 HADI TSH 2,000,000
Viwanja vinapatikana VIKINDU VIANZI KWA MTOPA
KM 4 Tu kutoka barabara ya lami
JINSI YA KUFIKA SITE
UKIFIKA VIKINDU STENDI UTAPANDA BAJAJ ZA KWENDA VIANZI ALAFU UTASHUKA KWA MTOPA AU SHELI.
UKIPIGA SIMU HAPO UTAPELEKWA SITE BURE NA NAULI TSH 1000 tu kutoka VIKINDU STENDI
KUNA BARABARA MBILI NA ZOTE UNAFIKA SITE, UNAWEZA KUTIPITIA KISEMVULE NYUMBA NYEUPE AU VIKINDU
VIKINDU ipo mbele ya mbagala, mkoa wa PWANI
➡️Ukubwa wa viwanja
Sqm 200- futi 50/40 - 2,000,000
➡️Viwanja vimepimwa kwa mpangilio wa mipango miji na vina barabara kubwa za mitaa
➡️viwanja tambarare, vinatambulika kiserikali na vina hati
➡️viwanja vya makazi vinaanzia Tsh 2,000,000 kwa cash
➡️malipo ya installment, mteja ataanza na Tsh 1,200,000 tu iliyobaki utalipa kidogo kidogo kwa miezi 4
➡️viwanja havina udalali
➡️kutembelea site ni KILA SIKU YA WIKI KASORO SIKU YA JUMATATU TU HATUFUNGUI OFISI
➡️tupigie simu leo 0785367831
Whatsapp 0769355987