Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam


*NYUMBA INAUZWA BINAFSI*
Ipo Goba Kinzudi, Dsm
Ina room 3 kimoja self, sitting room, dinning room, kitchen, store & public toilet
Eneo: Sqm 400
Maji na umeme tayari
Parking ipo yakutosha kabisa
( nyumba ipo karibu kabisa na barabara kuu ya mtaa iendayo Goba center na Salasala)
👌 Ina fence yakumalizia kidogo tu.
Bei: Tzs mil 45
Service charge elf 30...
Call
0746 433 854