Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja/ Nyumba; inauzwa Goba, Makongo road.
Mita 400, kutoka lami.
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1,000
Pamepimwa, hati bado.
Sehemu nzuri kwajili ya makazi.
Mtaa mzuri sana,.
Bei: 170 million.
Piga; 0754 587 611
; 0718 950 277
Karibuni sana.
Office Location📍; Goba, Makongo road