Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana Inauzwa
Goba center D.s.M
Inavyumba vitatu
Vyote ni self container
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Pia nyumba nzima inamakabati mazuri ya kisasa sana vyumbani
Umiliki Hati miliki ya wizara
YANI ( TITLE DEED )
ukubwa wa Eneo sqmt 900 umbali meter 500 kutoka barabara kuu ya lami nyumba iko mtaa mzuri sana Uliopangiliwa kisasa
Uduma zote muhimu zipo. Maji safi dawasa na Umeme.
BEI: 250 MILIONI maongezi yapo.
PIGA SIMU:: 0672 673363