Nyumba inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam







..INATOKEA MARA CHACHE..
Nyumba inauzwa gongo la mboto majohe (viwege kwa mpemba) wilaya ya ilala Dar
👉BEI MILION 23 (usiogope)
0759128747 0624436503
0712058357 whatsapp
Vyumba v5 kimoja masta
jiko
Tailz jipsam maji umeme
❌Gari inaishia nyumba ya pili (HAIFIKI)❌ ila kuna kiwanja kwa mbele kinauzwa ukinunua gari inafika
Kwa sasa Eneo sqm 260 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Whatsap au piga




















