Nyumba inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Gongo la mboto (majohe kwa ngozoma) wilaya ya ilala Dar
๐BEI MILION 70๐
Vyumba v4 kimoja masta
Dining siting jiko
Tailz jipsam umeme maji
FREM 4 ZA BIASHARA
Ina Full a.c (kiyoyozi)
Eneo ni sqm 460 (makadilio)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Whatsap au piga CALL ๐ #0683491594#0716974073