Nyumba inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa gongo la mboto (majohe viwege stend) wilaya ya ilala dar
👉BEI MILION 25✍️
Vyumba v4 kimoja masta
Sebule na jiko
📌KWA SASA INA TAILZ📌
jipsam ipo
Ina fremu moja ya biashara
Whatsap au piga 0673601114