Nyumba inauzwa Iyumbu, Dodoma
NYUMBA INAUZWA
______
MAHALI-IYUMBU (MORO-DAR ROAD)
-IKO JIRANI NA SHULE YA MFANO
______
UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI-100M
______
NYARAKA ZA UMILIKI/DOCUMENT-HATI SAFI
______
UKUBWA WA KIWANJA-1500SQM
______
MUUNDO WA NYUMBA NI
-Vyumba 05 vya kulala(01 MASTA)
-Study room
-sebule kubwa sana
-Jiko nzuri lenye makabati(open kitchen)
-Dining nzuri
-Stoo yenye shelves
-Public toilets 03 na common bathrooms 02
BOY'S QUARTER (NYUMBA NDOGO YA NJE) YENYE
-CHUMBA CHENYE CHOO
-PUBLIC TOILET
-JIKO
-STOO YA NJE
_______
HUDUMA/AMENITIES
-MAJI+UMEME VIPO
-ELECTRICAL FENCE
-KUNA FENI NA A.Cs ZIMEFUNGWA
-ELECTRIC HEATERS MABAFUNI
-ALARM SYSTEM IMEFUNGWA KWENYE MASTERBEDROOM+SEBULENI
-MAIN GATE IMEFUNGWA MOTOR HIVYO UNATUMIA REMOTE KUFUNGA NA KUFUNGUA GETI
-SURVEILLANCE CAMERAS
(KORIDONI,SEBLENI,DINNING NA NJE YA NYUMBA)
-SOLAR SYSTEMS 02 KWAAJILI YA BACKUP UMEME UKIKATIKA
-WATER RESERVE TANKS ZIPO
-VISIMA VIWILI VYA MAJI
-PERGOLA (YAKUIREKEBISHA VIZURI)
_______
BEI-350M (MAONGEZI YAPO-NJOO UZUNGUMZE NA MMILIKI)
_______
MAWASILIANO
0625631258
#treanding #fyp