Nyumba inauzwa Kibaha, Pwani


INAUZWA INAUZWA
Nyumba ipo kibaha mail moja shule
Kwa chacha wangwe boda1000 kutoka morogoro road
Inachumba nasebule choo ndan na chumba master
Pia Ina msingi wa vyumba v3 sebule dinning na jiko
ENO 20 KWA 20 YAN SQM 400
Bei 30 milion maongez yapo
Nyumba imekamiloka maji umeme na BARABARA UHAKIKA
Galama za kupelekwa site 30000
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347