Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


Hizi apartment zipo 4 kwenye fensi moja na mpya kabisa zimebakia 2 tuu,zina vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master, sebule kubwa,jiko na choo cha familia na kila apartment inajitegemea kwa kila kitu kuanzia umeme wake na mita yake ya maji Dawasa yanatoka ndani masaa 24, paving, garden nzuri,kuna fungwa feni vyumba vyote,zipo kimara temboni upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 15 kwa miguu price 350000*5 service charge 20000 more nfi...0788297128