Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri mpya ya kumalizia finishing inauzwa bei milioni 35 maongezi yapo shida aina mwenyewe ndugu mteja
Location Kimara baruti dakika 10-12 kutembea nyumba ipo mjini hyo
Ukubwa wa eneo square mita 350
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Sifa zake
Vyiumba 2 kimoja master Sebule kubwa jiko pablick toilet 🚻
Wai nyumba ipo karbu na mjini usiikosee hii ndugu mteja
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347