Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KALI MNO INAUZWA IPO KIMARA SUCA
============
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE KUBWA,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENS
.
VYUMBA INA MABANDA YA KUTOSHA KWA MFUGAJI
.
UKUBWA WA KIWANJA SQM 1200*** UMBALI KUTOKA LAMI MORO ROAD KM 2.5
.
HATI MAUZIANO(Sales agreement )
.
BEI NI MILLION 73 MAONGEZI YAPO
.
Karibuni sana
.
SERVICHAJ ELFU 30
.
CONTACT
0742260844