Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 25,000,000

HOUSE FOR SALE 🔥 HOUSE FOR SALE
NYUMBA HII YA WAPANGAJI
INAUZWA / INAUZWA
KIMARA TEMBONI..

PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO BARABARA ILIYOWEKWA LAMI YA ZEGE📌

💥BEI NI MILIONI 25.

MAONGEZI YAPO.

🏘️ NYUMBA HII INAVYUMBA V4 VYA KULALA, AMBAVYO UPANDE MMOJA VIWILI NA UPANDE MWINGINE PIA VIWILI, KATI KATI NI CORDO, PAMOJA NA SEHEMU YA JIKO LA KUSHARE" UMEME UPO, BADO KUVUTA MAJI TU HAPO, NA YAPO JIRANI..

MTEJA ATOPOINUNUA NYUMBA HII ANAWEZA KUBADILISHA PLAN JINSI ATAKAVYOONA INAFAA..

UKUBWA WA ENEO NI METER 18 X18

DOCUMENT SAFI ZA MAUZIANO KUTOKA OFFICE ZA SERIKALI YA MTAA..

UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.

USAFIRI WA BAJAJI UPO NA BODA BODA PIA..

PIGA SIMU 0789049684

🏘️KARIBU SANA NDUGU MTEJA🇹🇿

KIJANA MTIIFU 🇹🇿
dalali_dax_kimara_mpka_kibamba
KIJANA MTIIFU 🇹🇿

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

250 X 4 STANDE ALONE MPYAA INAPANGISHWALOCATION: KIMARA SUKAUMBALI TOKA MOROGORO ROAD K.M 2.5KODI 25...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI ZINA PANGISHWA KIMARA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI BODA BUKU. VYUMBA 2 VYA KULALA K...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI KIMARA STOP OVER DK14 KWA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI ------Chumba master Seble kubwa JikoPublic...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

(150,000X6)KIMARA KIMARA TEMBON 2KM BAJAJI 1000___________________*APARTMENT NZURI SANA* *INAPANGIS...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

(280,000 × 3) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI MPYAA KABISA DK6 KW...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000 × 4) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜APARTMENT KUBWA NA NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHW...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT HII KALI SANA YA KISASA INA3PANGISHWAKODI 500,000X6 LOCATION: KIMARA STOP OVER VYUMBA VIWI...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIR...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

🇹🇿 #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE – KARIBU NA BARABARA KUU📍 Kimara Korogwe🕓 Dakika ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 580,000

IMEBAKIA MOJA TUU!!BEI NI 580,000/= X 6🌟SIFA ZAKE NI #VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MAS...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

🇹🇿 #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE – KARIBU NA BARABARA KUU📍 Kimara Korogwe🕓 Dakika ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIR...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA SUKAKODI 300,000X6 VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMO...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE KODI 250,000X3/4/5/6CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA MAKAB...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

( 150,000 X 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT KUBWA NA NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 200,000/= X 4💥 APARTMENT HII INASIFA Z...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF UKIPENDA KUTEMBEA KUPELEKWA...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

New Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA KOROGWE Distance: KM 2 Kutoka Mwendokasi Usafiri ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA KOROGWE Distance: Dakika 3 tu Kutoka Stand Ya Mwendok...