Nyumba inauzwa Njia Panda, Kilimanjaro


Nyumba inauzwa.Ipo njia panda ya goba na tegeta A
Ina vyumba vinne vya kulala kimoja master,seble, dinning, jiko na toilet public.
Eneo square meters 750
Pia kwa nyuma Kuna servant corter mbili za chumba seble Choo ndani.
Umbali kutoka goba rod mita 400.
Bei milioni 135
Service charge 20000
Piga 0719190753