Nyumba inauzwa Vikindu, Pwani
Nyumba inauzwa nyumba ipo vikindu barabara ya kuelekea mkulanga
Nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko daining chumba Master
Eneo SQM 400
Bei ni ya kutupa
Mil 12
0712058357 } { 0624436503
0759128747 } { whatsapp
Nyumba nzuli sanaa na ya kisasa
Hati mauziano selika ya mtaa
Mwenyewe hoi kimaisha
Anataka kuludi mtwara
Mbele ina frem moja ya biashala
Karibu sana mteja
Bei haina kupatana