Nyumba inauzwa Vikindu, Pwani
Nyumba ipo vikindu magogo mtaa wa kamegele kilometer 1 tu kutoka bara bara kuu ya kilwa lody
Nyumba nzuri sana kubwa ya kisasa kabisa ina eneo kubwa square miter 900
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vinne vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku
Bei poa sana tsh million 70 tu
Ukitaji maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp
Call me 📱 0652618143
Call me 📞 0759203175
Zote zipo Whatsapp