Nyumba inauzwa Vikindu, Pwani


*Eneo la Yard Ekari 2 linauzwa Vikindu-Mkuranga*
*Distance* Kutoka Kilwa Road mpaka kwenye eneo ni 250 Meters
-Eneo ndani lina nyumba ya kisasa ya vyumba 4 vya kulala vyote master bedrooms, dinning room, sitting room, kitchen na public toilet.
-Kuna Kisima kimechimbwa na nyumba ya mlinzi
*NOTE*
*Nyumba imekatiwa Bima ya miaka 90*
*Eneo unaweza kugeuza kuwa Yard na kujenga Godown*
*Document;* Title Deed ya miaka 99
*Bei shilingi milioni 400 maongezi yapo*
MC DALALI HUSSEIN
CALL & WHATSAPP
0769318773 0R 0789184940