Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana kwa watoto
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL
CALL