Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
CHUMBA KIMOJA SINGO
KINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD
DK 15/ KWA MGUU
=====
KODI 75,000/=X5
DALALI 75,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/=
=====
KIPO NDANI YA FENSI
PAKING IPO
=======