Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE KM 1 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 1 UPO NYUMBAN
KODI NI 310,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 3, 4, NAKUENDELEA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA #SEBULE CHOO NA JIKO .aina master
MAJI NI FREE APA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YANAFLOW NDANI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
###0655256419