Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA
INA PANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 15 KWAMIGUU AU BODABODA 1000
SIFA ZAKE
KODI NI 120,000 MALIPO MIEZI 4x5x6
CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO NDANI UKUBWA WA CHUMBA 13 KWA 12
KUONESHWA NYUMBA ELFU 15 IMEBAKIA 1 TU
HAKUNA FENSI USALAMA WA UHAKIKA GARI
##0655256419