Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿HOUSE FOR RENT STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
KODI 500,000 × 6
Location: KIMARA BARUTI
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
🥕SEBULE KUBWA
🥕DINNING KUBWA
🥕VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
🥕CHUMBA KIMOJA MASTER
🥕JIKO KUBWA SANA
🥕PUBLIC TOILET NDANI
🥕PARKING SPACE Available 🚘
🥕INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
🥕MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
🥕RESERVE TANK
🥕GOOD ENVIRONMENT 👍
📌KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DKK 10 KWA MIGUU AU
📌USAFIRI NI BAJAJI 500, BODA 1000
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp