Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347