Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
Chumba kimoja na sebule self, jiko ndani, umeme na maji unajitegemea, nyumba ni mpya ya kisasa, iko na security ya uhakika na kuna mlinz, pia inaeneo kubwa LA parking na uan kuna perving, pia kuna hita ya maji moto kwawale wapenda oga maji ya moto kama mimi. Nyumba iko mwilamvya jilan na soko LA mnadan, sio mbali sana na bala bala ya lami, kodi yake 200,000/= kwa mwezi na unalipia kuanzia miez 3. Mawasiliano sim. 0764162942 au 0626332187. Tafadhar kama sio wewe nisaidie ku-share. Aksante πππ