Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Chamazi, Machimbo Kwadumba, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
1
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master bedroom kinapangishwa bei elfu 80 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi njia panda location machimbo kwadumba. Chumba master kina tiliz madilisha vioo, feni juu panga boy lipo, umeme unajitegemea mita yk, pamoja na maji pia mita yk na fensi ipo pia lkn cio yakuingia gari. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.



















