Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA SINGO KINAPANGISHWA
KIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
====
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 10
KUTEMBEA KWA MGUU
===
CHUMBA KIKUBWA SANA KIPO NDANI YA FENSI
UMEME SABMITER WATATU 3
MAJI DAWASA
===
KODI. 75,000/=X5 AU 6
KUONA CHUMBA 15000/=
DALALI 75,000/=
PINDI ULIPIAPO CHUMBA
CALL 0659244543