Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Salama, Mara







π CHUMBA MASTER, SEBULE & JIKO β NDANI YA FENSI! π
π Nyumba safi, salama na yenye nafasi ya kutosha!
π Mahali: Bunju B
πΉ Muundo wa Nyumba:
ποΈ Chumba 1 cha kulala (Master)
ποΈ Sebule kubwa yenye nafasi
π½οΈ Jiko
β‘ Umeme na maji unajitegemea
π§Ή Usafi wa nje unahudumiwa na mtu maalum
π° Kodi: TSh 180,000/= kwa mwezi tu!
π Wasiliana nasi leo kwa simu au WhatsApp:
π² 0687 800 788
π² 0713 958 395